- Thread starter
- #41
Zogwale: Hekima hizo, naamini wewe wa pili kumfuatilia Mfalme Suleimani!hahaNa tukitaka kujua wewe umezini na nani tukumulike namna gani? Yaani mambo mengine ni kichekesho sana!!! Sasa ukishajua ili ufanyeje? Kweli mnajitafutia presha za bure. Hata akizini nje akirudi kwangu mimi ndiye mtawala na ndiye ninajulikana King nyie wengine wezi tu mnajifungia uchochoroni!!!
Last edited by a moderator: