NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
- Thread starter
-
- #121
language gani nzuri kushinda zote me ndo naanza na java nimeipenda sabab ukikosea inakuonyesha
nashukuru mkuu wanipa mwangaza.Hakuna language nzuri kushinda zote, language zote zina strength na weakness zake, kwa hiyo kila language inatumika pale ambapo ina strength zaidi.
Na kusema java inakuonyesha ukikosea, language nyingi zina hii feature, ukicompile kama umekosea inakuonyesha wapi ime~fail. Kama unaongelea "Auto-complete" yaani ile ukiwa unaandika inakuonyesha na majina ya methods, hata languages nyingine zinayo, hiyo siyo feature ya language, ni environment tu unayotumia.
Hakuna kitu special kwenye Java ambacho huwezi fanya kwenye language nyingine, japo ndio, Java ni language moja nzuri sana na inatumika sana.
language gani nzuri kushinda zote me ndo naanza na java nimeipenda sabab ukikosea inakuonyesha
Mfano Intellisense ni moja ya feature iliyopo kwenye microsoft Visual studio IDE ambayo kwa sasa ina cover C++,Python,C# na VB.NET.
Inaenda mbali ina hadi Break Points ambazo zinakuonesha flow ya code na assignement ya values katika variables zako
Nafikiri hiyo sio fact labda utoe nyingine
Ila Java sio mbaya naona inaweza Cover windows,OS X na Android
Ila nimeona pia Microsoft kupitia C# wameinua kampuni ya Xamarin(cross platform app development environment kwa C#) Ambayo ina Cover OS karibu zote isipokua Linux peke yake i.e unaweza share code kwa app yako katika Windows Phone/Windows Store/Windows OS zote,Android,OS X na iOS nafikiri hii ni coverage kubwa sana sijui kama kuna lugha moja imeweza cover nyaja zote tajwa hapo juu.
Hii inamaanisha kama unataka develop iOS au OS X app hauitaji kujifunza Lugha nyingine i.e Objective C au kama unataka develop android app ukishajua C# hauitaji kujifunza Java tena.
Nilikua naangalia Evolve Xamarin 2016 leo ndo madogo niloyajua hayo itaendelea pia kesho
Xamarin Evolve 2016
Nipe procedures za kutengeneza app na video editing.NATANGULIZA SHUKRAN ZANGUNinahitaji kujua watu wangapi wako interested kujifunza programming na ambao wanahisi wakielezwa kwa kiswahili is better kuliko kiingereza. Kama ndio tupia hapa ungependa kujua nini.
Nafikiria kutengeneza Youtube series kwa kiswahili ambayo itakua na playlists mbalimbali zitakazo waintroduce watu kwenye concepts za Java, Android Programming, C++, C, Javascript, Datastructures, common algorithms, Swift n iOS Programming, na ikiwezekana kutengeneza full apps kuanzia mwanzo kabisa hadi completion.
Nafikiria kuifanya kama weekend project ambapo every weekend nitaupload few videos polepole kama itaendelea it will probably take a year or more kumaliza playlists zote hapo juu, sema nataka kujua kama kuna audience even if its 100 people, najua english tutorials zimejaa.
Ukijibu ingependeza ukisema unataka nianzie wapi, kama huna experience kabisa au hujiamini hata kidogo unaweza sema hujui mi ntajua kua unataka nianze mwanzo kabisa kwenye basics
Vp ili swala limeishia wap?? Anza na c++
Shukran sana ...Anzia hapa FREE kabisa
C++ Tutorial for Complete Beginners - Udemy
Kama haupendi stream kuna torrent file
Download C++ Tutorial for Complete Beginners Torrent - Kickass Torrents
au Hii Course hapa
Download C++ From Beginner to Expert Torrent - Kickass Torrents
Ingia torrent site yoyote search "Wordpress For Beginners" ila kama unataka zile za Blogspot waweza search huko utube piaMkuu nlikua naomba unielekeze jinsi ya kutengeneza blog
fanya hvyoo tunasubrrMkuu sio kwamba nimewasahau, nina project imenikeep busy sana nakimbizana na deadline, nikiwa poa naweza nikaanza.