Unataka kujifunza programming?

Ntapost link ya Youtube channel hapa kwa hiyo weekend ikifika we pitia utaiona.
Unapatikana mkoa gani kwa anayetaka kujifunza seriously kutoka kwako...face to face. Ni beginner kabisa.
 
Unapatikana mkoa gani kwa anayetaka kujifunza seriously kutoka kwako...face to face. Ni beginner kabisa.

Siishi Tanzania mkuu, ukiwa na maswali unaweza post kwenye comment section tu nikisoma ntakujibu au kama ni swali linahitaji longer explanation naweza tengeneza video ya maelekezo.
 
Machine learning naitaji mm using cpp

Mkuu nimefanya machine learning kwa kutumia R na Java ila still sijiamini kufundisha ile kitu jinsi ilivyo complex, one has to be very comfortable with something ili akifundishe, alafu si rahisi mtu kuelewa coz hata prerequisite yake ni mtu aliye very heavy in statistics, kwa mtu anayetaka machine learning sioni sababu kwa nini asisome kwa kiingereza tu, kufika level hiyo mtu atakua na uwezo wa kujisomea vizuri sana. Kama umeona course moja ya Stanford, Andrew anafundisha vizuri sana hii kitu.
 
Aanze moja KABISA ili kila mtu awe nae mpaka mwisho!

Programming na computer science in general haina mwisho, ni kuendelea siku zote, hata mimi hadi leo najifunza vitu vipya kila siku, sema basics ni muhimu sana ili watu waweze kuandika software ambazo ni fast na space efficient. Nitabase kwenye basics na nitagusia na advanced concepts pia with time hasa ambazo naona wabongo wengi hawafanyi coz wengi software zao nimeona wanabrute force kila kitu.
 
Unaanza lini sasa ili tujipange kujifunza? Ni muhimu uanze from the scratch ili kwenda na wote...ili wale beginners wasije buruzwa na wanaojua. Ni ombi tu.
 
mkuu leta hi kitu ila ni vizuri ikawa kwa english pia uanze na basics then ndo uingie kwe maufundi yenyew..please hata kama mia hatufiki kama tuko wachache wenye nia ya kujifunza tusaidie tu
 
mkuu nawewe naona ni mjuzi wa hizo mambo so hizo terminology za computing mtakua mnasaidiana kutuelewesha wengne tusiojua fani hizo i hope tutaelewa tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…