Unataka kuacha Kazi?

Unataka kuacha Kazi?

Mbunge Luswe

Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
56
Reaction score
23
Umewahi shuhudia mtu ana kazi nzuri tu na inamlipa vizuri lakini anaamua kuacha?
Unafikiri kwanini anaacha na kuanza kufanya kitu kipya au mtu anaamua kustaafu kabla ya umri wa kustaafu?

Kuna nguvu kubwa zaidi ya kufanya kitu unachokipenda zaidi ya kazi na mshahara unaopata kwa kitu au kazi usiyoipenda.

Hakika kufanya kitu ukipendacho, utafanya kwa..
1. Ubora
2. Utajituma
3. Matokeo ni makubwa zaidi

Wengi walio amua kuacha kazi na kufanya vitu wavipendavyo hawajawahi shindwa, wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa zaidi ya kufanya kazi usiyoipenda.

Kuna kitu kinaitwa UNFAIR ADVANTAGE. Moja ya vitu hivi ni kustaafu mapema. Utapata ugumu lakini yapo mafanikio makubwa zaidi ya kusubiri kinua mgongo baada ya miaka 60.

Explore your potential gift uliyonayo, anza kuitendea kazi.

Robert Kiyosaki na rafiki yake Kim walistaafu wakiwa vijana na leo ni mabilionaire wakubwa.

Jipe moyo wa ushindi. Uinuke tena.
EEMC TAYOMI.
[HASHTAG]#IshiKwaMalengoTimizaMalengoYako[/HASHTAG] #
 
Umewahi shuhudia mtu ana kazi nzuri tu na inamlipa vizuri lakini anaamua kuacha?
Unafikiri kwanini anaacha na kuanza kufanya kitu kipya?? Au mtu anaamua kustaafu kabla ya umri wa kustaafu??
#ipoIvi#
Kuna nguvu kubwa zaidi ya kufanya kitu unacho kipenda zaidi ya kazi na mshahara unao pata kwa kitu au kazi usiyo ipenda.
Hakika kufanya kitu ukipendacho, utafanya kwa..
Ubora
Utajituma
Matokeo ni makubwa zaidi.
Wengi walio amua kuacha kazi na kufanya vitu wavipendavyo hawajawahi shindwa, wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa zaidi ya kufanya kazi usiyo ipenda.
Kuna kitu kinaitwa UNFAIR ADVANTAGE. moja ya vitu hivi ni kustaafu mapema. Utapata ugumu lakini yapo mafanikio makubwa zaidi ya kusubiri kinua mgongo baada ya miaka 60.
Explore your potential gift uliyo nayo, anza kuitendea kazi.
Robert Kiyosaki na rafiki yake kim walistaafu wakiwa vijana na leo ni mabilionaire wakubwa.
Jipe moyo wa ushindi. Uinuke tena.
EEMC TAYOMI.
[HASHTAG]#IshiKwaMalengoTimizaMalengoYako[/HASHTAG] #
Kim kiyosaki ni mtoto wa Robert kiyosaki! Sio rafiki.au unamzungumzia Kim yupi?
 
Uko sahihi kabisa mkuu. The proper function of a MAN is to LIVE, not to EXIST!
 
Ni tz pekee mtu anatembea kutwa nzima juani anauza vitabu vya jinsi ya kutajirika ukiwa na mtaji mdogo
Hahaha kuna wale wanaosoma vitabu vya kuwa matajiri lakini bado masikini.
Na waandishi wa hivyo vitabu masikiniiii wao ni kutaja majina ya matajiri tu, vitabu vyao utakuta majina kibao.
 
Back
Top Bottom