unataka kazi bila usumbufu?

unataka kazi bila usumbufu?

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,941
Reaction score
3,262
Nja sahibhi ya kuomba kazi huku ukiwa na matumaini ya kuibuka kidedwea ni kuomba kazi zinaziitaji watu wengi kwa mfano teachers are needee au drivers are needed sio kuhangaika na kupoteza muda kuomba kazi ambazo inaitaji mtu mmoja tu kwa mfano hr manager ni kupoteza mda kutokana na wingi wa watu wanaoomba na ufinyu wa nafasi

ANGALIZO :hoja zangu zimezingatia tatizo la ajira tanzania na ukubwa wake
 
Back
Top Bottom