Unanikumbusha miaka ya 2000 nipo balehe jpili mzee alikua anapenda huu wimbohauiti hivyo, ila nimekuelewa.unaitwa azda huu hapa
Nami nautaka huu ila sijui jinaKuna wimbo fulani wa kisouth afrika, ni instrumental tu mwanzo mwisho. Bahati mbaya sifahamu jina la hizo beats.
Wakati fulani unatumiwa na madansa kwenye sherehe za arusi na nyingnezo