Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

Roga Roga

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
656
483
Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa.

Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake pia. Karibuni sana. Hakikisha jina la mwimbaji, bendi na jina la wimbo viko sawa.
 
Hawa jamaa wametuzidi kila kitu. Mziki wao upo kimataifa na unaheshimika, vilabu vya mpira tp mazembe, AS Vita tena jana kaingia fainali kuna DC motema pembe, wanaocheza ulaya WaPo kibao.

Nikiwa mdogo km miaka 7 mpaka kumi almost 36 yrs ago kuna kibao kinaitwa kamiki aisee tulikuwa na kanda yake ya njano halafu imeandikwa kwa herufi kubwa BASF nilikuwa nakizimia sana hicho kibao. Vibaya mnoo lkn kipo Youtube. Nyimbo za Lwambo, peuch del sol, nzaya nzayadio Na seki zengi kavasha hiyooo!
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom