Vaa bukta ndani halafu chomekea shati funga na mkanda vizuri[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Hahhahahaa... Lakini bado hautoifurahia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mh me nilidhani kwenye huu uzi kuna wachumba!!!
Unamzuka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mh me nilidhani kwenye huu uzi kuna wachumba!!!
Ndio me nilijua fursa hiyo imejileta bila kuitafutaUnamzuka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kabisaaa upo sahihi asilimia miaNi mara elfu uolewe uoe mtu mwenye Sura mbovu
kama Kitumbua cha Kantini ya shule lakini ana akili
na Mapenzi ya kweli kuliko kuoa kuolewa na mtu
mzuri na anayevutia,watu wakakusifu umepata
chombo lakini kichwani kwake kuna uyoga na
funza...
-
Kumbuka
Mchumba ni kama nguo. Usipochagua size yako,
hata iwe nzuri namna gani hautapendeza wala
kuifurahia
......