Good Neighbour
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 942
- 899
- Thread starter
-
- #21
Ofisi zao ziko hapo na kuna majengo mengi sana yenye bati ya kijani,na wana eneo kubwa sana.Tafadhali uliza watu wanaopafahamu dodoma vizuri zaidi kwaajili ya kujiridhisha kabla hujaanza kupiga keleleKaribia na Usalama wa Taifa?! Umewajuaje na wakati huwa hawajitangazi??!! Subiri waje, Hiyo ofisi yao ina bango lolote kuonyesha ni ofisi ya watu......,
Liko vizuri sanaUnazungumuziaje hili tangazoView attachment 921389
VyoteMkuu vyote 3 4million au kila kimoja ndo 4Milion
Mzee kama wewe ni mkazi wa dodoma ni rahisi kulifahamu eneo hilo kama vile mtu kuifaham kariakooKaribia na Usalama wa Taifa?! Umewajuaje na wakati huwa hawajitangazi??!! Subiri waje, Hiyo ofisi yao ina bango lolote kuonyesha ni ofisi ya watu......,
Mkuu...umeshaviuza?Vyote
Bado vipo mkuuMkuu...umeshaviuza?
Kwa nini bei unayouza haiendani na uhalisia maana nimeshauliza viwanja vingi naambiwa bei za juu zaidi na size ni ndogo zaidi ya iyo yako. Tafadhali..nami ni muhitajiBado vipo mkuu
Ni kweli mkuu. Hiyo bei na ukubwa wa eneo pamoja na location.... Haviendani.Kwa nini bei unayouza haiendani na uhalisia maana nimeshauliza viwanja vingi naambiwa bei za juu zaidi na size ni ndogo zaidi ya iyo yako. Tafadhali..nami ni muhitaji
Ni eneo salama,bei iliyotangazwa ni ofa na inatokana na shida ya haraka.Ukisoma vizuri utaona mwishoni nimeruhusuKwa nini bei unayouza haiendani na uhalisia maana nimeshauliza viwanja vingi naambiwa bei za juu zaidi na size ni ndogo zaidi ya iyo yako. Tafadhali..nami ni muhitaji
Hayo mashaka ndio uje uyamalize kabla hujanunua.Kuanzia kwenda manispaa kuhakiki mpaka serekali husika ya mtaaNi kweli mkuu. Hiyo bei na ukubwa wa eneo pamoja na location.... Haviendani.
Inatia Mashaka kidogo.
Asante kwa Maelezo mazuriHayo mashaka ndio uje uyamalize kabla hujanunua.Kuanzia kwenda manispaa kuhakiki mpaka serekali husika ya mtaa
Ofa hii inakwisha leo,imetokana na uhitaji wa haraka wa pesa kutokana na madeni yanayomkabili muuzaji.
Asante
Karibu sana Mr.DennisAsante kwa Maelezo mazuri
Bado vipo?Karibu sana Mr.Dennis
Ndio mkuuBado vipo?