Unasubiria GTA V? huenda ukahitaji PC mpya

mzee chibali hebu nipasie na mimi nduguyo hizo GTA Nilifanikiwa San Andreas na Vice City tu. hizo zilizobaki sikufanikiwa kuzicheza sasa hapa umenigusa sna kwa jinsi ambavyo umeonesha una mapenz ya dhat kwa GTA / kizuri basi kula na nduguyo... naweza kukupata wapi na unanisaidiaje? maana si mbaya hata nikisema tu asante ubarikiwe.
 
Kaka i3 i5 i7 zote zina power ya kutosha. Kibongo bongo issue ni gpu. Kwa processor za 4th generation gpu yake inayokuja na processor yaani hd4600 inarun hili game kwa kusua sua, gpu chini ya hapo huenda zisirun kabisa.

Cha muhimu nenda my computer halafu right click then properties nisomee full jina la processor
 
sasa chief haponi consoles zipi zitafaa?
 
Mkuu hiyo 60GB ni free space inayotakiwa, sio ukubwa wa GAME.
 
sasa chief haponi consoles zipi zitafaa?

Hakuna console inayocheza 4k kwa sasa. Zinaishia tu 1080p. Ila na vifaa vya kucheza game kwa 4k vitakucost kama milioni 6 au zaidi. Nasema tu kwa wale wenye navyo.

720p/1080p kibongo bongo sio mbaya kaka
 
kwa maana hiyo hilo game limetengenezwa ili licheze kwenye pc tu?
 
kwa maana hiyo hilo game limetengenezwa ili licheze kwenye pc tu?

Hapana linachezwa kote pc, ps4, ps3, xbox one na xbox 360.

Ila kwenye console linacheza 720p, 1080p

Wakati kwenye pc litacheza 720p, 1080p,..... Mpaka 4k.

Tuchkulie mfano nyumbani una tv ya 4k wengine wanaita ultra hd. Basi ukicheza gta v kwa native resolution ya 4k litakuwa na graphics nzuri zaidi tofauti na 720p na 1080p ya console
 
Hivi unavyosema HD4600 ndo zile graphics saa zingine wana ziita intel 5000, au intel 3000 au? daaah naona mac wametupwa pembeni kabisa aiseee
 
Hivi unavyosema HD4600 ndo zile graphics saa zingine wana ziita intel 5000, au intel 3000 au? daaah naona mac wametupwa pembeni kabisa aiseee

yah kaka ndio hizo hizo, sema sio integrated graphics zote ni mbaya zipo hd 5200 (iris pro) hizi ni za ukweli. so kama una mac yenye iris pro unalicheza vizuri tu gta v.

https://www.youtube.com/watch?v=hG9mYnvU_yI&hd=1
cheki hii video kwa ushahidi

pia zipo mac zenye dedicated graphics
 
Nilikuwa nalo hili tangu mwaka jana. Ila sikuinistall.

Now ndio nacheza liko poa. Ila weka mbali na watoto. Maana jamaa kila neno na tusi juu. Yaani full kutukana.
.
Rock star wako poa sana hata sound na mziki vimepangiliwa poa sana.
 
Hata graphics compare na san andrea na vice city ni level nyengine
 
Wapo wataalamu waku compress files watatuwezesha tunaoshusha mizigo torrents
 
yaani nilikuwa si mpenzi wa gta. Lakini mikito ya mziki wa mule ukipiga kwenye sound nzuri wakati unaendasha garii. Yaani unafeel kama upo USA.

Mimi mpenzi wa mziki wameniteka kiukweli. Graphics nimeset medium kutokana na uwezo wa pc yangu. But ziko poa.
Hata graphics compare na san andrea na vice city ni level nyengine
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…