Sijajua labda unipe darasa, natumia simu kuchart jamii forum, nashindwa kutag paragraphs kwenye texts ili nikujibu vizuri kama unavyofanya wewe. Lakini usijidanganye, viongozi CCM hawajashushwa toka kwenye mwezi, ni sisi wananchi haohao tunaovianzisha hivi vyama vya siasa. Sikulahumu kuwa CCM, lakini nipongeze mimi pia kuwa na chama chenye mlengo thabiti na msimamo imara wa kuwatumikia wananchi, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo "CHADEMA".Asante
Asante, na hivyo ndivyo katiba yetu inavyosema!, kujiunga na chama cha siasa ni hiyari, ila kwa Tanzania, kipengele hicho kimechakachuliwa kwa ubatili kwa kuchomekewa kipengele batili ili Mtanzania kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa umma ni lazima ujiunge na chama cha siasa, hivyo kuna Watanzania, hawapendi kujiunga na chama chochote, lakini wanataka kuwatumikia Watanzania, hivyo kulazimika kujiunga na chama cha siasa!.
Watu watakuja na watapita CCM ni ile ile juzi, jana, leo, kesho na hata milele!.
Sii kweli kuwa CCM imejaa, hao watu wapo sio CCM pekee bali kote na vyama vyote watu hao wapo!.
Let's assume you are right, but kwa hali ya siasa za Tanzania, CCM isipochaguliwa kuna chama gani kingine chenye ability, capacity na capability kutawala nchi yetu?
duh...!
Hili hata mimi nililisemea Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya
Naunga mkono hoja na hili mimi pia nimelisema CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! na hapa CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali? na hapa Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Sii kweli mambo mbona ni supper sana tuu!.
Hili nililishauri kabla Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa! na nikawapa the consequences. Sikuishia hapo baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa, nikashauri tena Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi haikusaidia kitu, hivyo the consequences happened!.
Sii kweli
Asante nimekusikia!.
P
sawa muungwana mbussi mwanachama wa chadema, nadhani umeeleza vizuri sana na bilashaka kwa uzuri wa sera na mipango yenu Pascal Mayalla ataamua mwenyewe abaki au ajiunge nanyi kawasababu ni hiari kujiunga na chama chochote.Tlaatlaah: uchaguzi wa chama cha siasa ni Uhuru na hiari ya mtu. Kwangu mimi chama ulichokipa sifa ulizozitaja hapo juu ni Chadema. Kwasasa hakuna chama kingine chochote kilicho na viongozi wa juu wasioyumbishwa au kukatishwa tamaa kwa kuongwa wala kutishwa mbali na Chadema. Ni chama chenye sera zilizowazi, ingawa najua upotoshaji unaofanywa na ccm kuhusu sera za Chadema ni mkubwa mno. Ni chama kilicho na wafuasi ndani ya serikali na vyuo vya elimu ya juu kuliko CCM japo hawajiweki wazi kwasababu ya maslahi na woga wa kupoteza kazi.
Tumeona safari walioipitia CHADEMA hasa kipindi cha JPM. Viongozi maslahi wote walinunulika kama ilivyokuwa kwa Bashiru, ambae baadae alitumika kuwanunua wenzie toka vyama vya upinzani husisani chadema. Lakini pamoja na risasi, kubambikiwa kesi na vitisho vingine, viongozi wakuu hawajeteteleka na ndiyo wamekuwa sauti ya wananchi badala ya bunge letu la mchongo. Bunge ambalo hata Kinana wenye chama cha CCM amelilalamikia adharani.
Pamoja na propaganda za ovyo za kukipaka matope Chadema na viongozi wake zilizofanywa na CCM hasa kipindi cha Magufuli bado Chadema imesimama upande wa wananchi. Jiungeni CHADEMa wakati ni huu.
Migogoro ya hifadhi na Wananchi imewashinda,wanatatua migogoro ipi au ya ndoa!CCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana.
Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi katika ngazi tofauti tofauti wanapambana kuakikisha wanahudumia wananchi kama ilani ijavyoelekeza.
Jiunge CCM leo uwe sehemu ya maendeleo ya nchi.
Kwanini tusiwape CHADEMA ili nao tuone ability and capability yao.Chama chenye capability hakiwezi kuwalinda viongozi Wala rushwa na wababaishaji wanaoingiza nchi kwenye mikataba ya ovyo.Mkuu Pantosha , asante sana kwa bandiko hili, ila humu JF ukizungumzia kujiunga CCM... angalia kilichonikuta siku natangaza kujiunga CCM, nilitangaza siku ya tarehe 1 April, bandiko lile likafutiliwa mbali eti ni siku ya wajinga!. Nikatoa ushauri huu Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
Naunga mkono hoja, na sio hivyo, kwa Tanzania mpaka hapa tulipo, chama cha siasa kwa maana halisi ya chama cha siasa chenye ability, capabilities and the capacity is only one, the one and only CCM!.
Japo nchi yetu ni nchi ya vyama vingi, ukweli halisi wa vyama vingi ni vyama vingi jina tuu, lakini Tanzania ni nchi ya chama kimoja, CCM ambacho sio tuu ni chama pekee cha siasa, bali pia ni chama dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! kimezungukwa vyama ambayo ni mfano vyama!.
Kufuatia Tanzania kukosa upinzani wa kweli, CCM Itaendelea kutawala milele!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Japo kuna watu wana matumaini kuwa one day upinzani utakuja kushika dola, niliwahi kuwaambia Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Na kitakacho ifanye CCM itawale milele ni matumizi ya mbinu zinazoitwa hooks and crooks CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
Uongozi wa JF kama vile wanavuta weed wakiwa ofisiniMkuu Pantosha , asante sana kwa bandiko hili, ila humu JF ukizungumzia kujiunga CCM... angalia kilichonikuta siku natangaza kujiunga CCM, nilitangaza siku ya tarehe 1 April, bandiko lile likafutiliwa mbali eti ni siku ya wajinga!. Nikatoa ushauri huu Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
Naunga mkono hoja, na sio hivyo, kwa Tanzania mpaka hapa tulipo, chama cha siasa kwa maana halisi ya chama cha siasa chenye ability, capabilities and the capacity is only one, the one and only CCM!.
Japo nchi yetu ni nchi ya vyama vingi, ukweli halisi wa vyama vingi ni vyama vingi jina tuu, lakini Tanzania ni nchi ya chama kimoja, CCM ambacho sio tuu ni chama pekee cha siasa, bali pia ni chama dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! kimezungukwa vyama ambayo ni mfano vyama!.
Kufuatia Tanzania kukosa upinzani wa kweli, CCM Itaendelea kutawala milele!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Japo kuna watu wana matumaini kuwa one day upinzani utakuja kushika dola, niliwahi kuwaambia Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Na kitakacho ifanye CCM itawale milele ni matumizi ya mbinu zinazoitwa hooks and crooks CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
P
Chama kikizidiwa kwa hoja kinatumia vyombo vya dola kunyamazisha upinzani na kwenye Uchaguzi hakiwezi Kusimama chenyewe bila Polisi.Hapana CCM hawana capability yoyote!It's the numbers that's what matters, not the brains, therefore don't underestimate the multitude of fools!. Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
P
Tlaatlaah, naomba uwe hakimu mzuri na uhukumu kwa haki. Chadema siku zote ni waungwana sana tena sana. Watukanaji wazuri ni CCM, waanzisha fujo ni CCM, uongo, propaganda chafu nk. ni CCM. Nikukumbushe tu, ni nani alianzisha propaganda kwamba Lowasa ni mgojwa atafia madarakani na wengine wakaanza kupiga push up, je, ni Chadema.? Ni nani utuma polisi kuwapiga mabomu kwenye mikutano yao ya adhara? Nichukue mfano wa juzijuzi; Chadema akiwa na mikutano halali wa adhara viwanja vya Furahisha Mwanza, CCM wakamleta Daimond apige bure mziki uwanja wa CCM Kirumba, mita mia toka kwenye mkutano. Hivi hapa mchokozi ni nani? Katika chaguzi vijana wa Chadema ukatwa na kubambikiwa kesi. Bado yote hayo uoni. Let's be realistic, ata kama si mwanachama wa hicho chama.sawa muungwana mbussi mwanachama wa chadema, nadhani umeeleza vizuri sana na bilashaka kwa uzuri wa sera na mipango yenu Pascal Mayalla ataamua mwenyewe abaki au ajiunge nanyi kawasababu ni hiari kujiunga na chama chochote.
washaurini wanachama wenu wawe waungwana waache matusi. wa vyama vingine pia wajibu hoja kwa hoja.
Ili uwe sehemu ya maendeleo ya nchi lazima uwe mwanaCCM? Sijajua umesema kwa utani au umedhamiria...hakuna mwanaccm yeyote anaependa maendeleo ya nchi hii.CCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana.
Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi katika ngazi tofauti tofauti wanapambana kuakikisha wanahudumia wananchi kama ilani ijavyoelekeza.
Jiunge CCM leo uwe sehemu ya maendeleo ya nchi.
Last but not least, ndugu Mayalla, natatika kutag paragraph moja badala ya text yote ili ni kujibu, lakini nimeshidwa. Umesema hakuna chama chenye uwezo wa kuchukua madaraka nje ya CCM?? Big no my brother.Asante
Asante, na hivyo ndivyo katiba yetu inavyosema!, kujiunga na chama cha siasa ni hiyari, ila kwa Tanzania, kipengele hicho kimechakachuliwa kwa ubatili kwa kuchomekewa kipengele batili ili Mtanzania kugombea nafasi yoyote ya uongozi wa umma ni lazima ujiunge na chama cha siasa, hivyo kuna Watanzania, hawapendi kujiunga na chama chochote, lakini wanataka kuwatumikia Watanzania, hivyo kulazimika kujiunga na chama cha siasa!.
Watu watakuja na watapita CCM ni ile ile juzi, jana, leo, kesho na hata milele!.
Sii kweli kuwa CCM imejaa, hao watu wapo sio CCM pekee bali kote na vyama vyote watu hao wapo!.
Let's assume you are right, but kwa hali ya siasa za Tanzania, CCM isipochaguliwa kuna chama gani kingine chenye ability, capacity na capability kutawala nchi yetu?
duh...!
Hili hata mimi nililisemea Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya
Naunga mkono hoja na hili mimi pia nimelisema CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola! na hapa CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali? na hapa Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
Sii kweli mambo mbona ni supper sana tuu!.
Hili nililishauri kabla Ombi Maalum, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2020, Uendeshwe kwa Ceteris Peribus, Sio Kwa Mutatis Mutandis. Tutabarikiwa! na nikawapa the consequences. Sikuishia hapo baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa, nikashauri tena Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi haikusaidia kitu, hivyo the consequences happened!.
Sii kweli
Asante nimekusikia!.
P
RubbishCCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana.
Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi katika ngazi tofauti tofauti wanapambana kuakikisha wanahudumia wananchi kama ilani ijavyoelekeza.
Jiunge CCM leo uwe sehemu ya maendeleo ya nchi.
Watanzania wote ni sehemu ya maendeleo ya nchi na wala si kwa sababu ya CCM na asilimia 80 walishaachana na CCM siku nyingi ndio maana CCM imebaki na kete moja tu ya Wizi wa kura tu kwenye uchaguzi maana wanajua bila hivyo hawawezi kuongoza dola ,nje ya hapo ndani ya CCM hakuna kitu.Kama huamini maneno haya omba chama chako cha CCM na serikali yake kilete Tume huru ya Uchaguzi na katiba mpya kama kweli kina nia njema na watanzania,alafu baada ya hayo kufanyika Uje tujadili maendeleo ya Taifa hili.CCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana.
Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi katika ngazi tofauti tofauti wanapambana kuakikisha wanahudumia wananchi kama ilani ijavyoelekeza.
Jiunge CCM leo uwe sehemu ya maendeleo ya nchi.
Kama ni kikongwe huoni kuwa kitakuwa kimepitwa na wakati?CCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana.
Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi katika ngazi tofauti tofauti wanapambana kuakikisha wanahudumia wananchi kama ilani ijavyoelekeza.
Jiunge CCM leo uwe sehemu ya maendeleo ya nchi.
Potosha huyoWewe ni pantosha au potosha
Umesahau sifa nyingi za ccm moja wapo bila kutoa rushwa jinalako linakatwa hata kama unagombea ubalozi wa nyumba kumi,lazima uwe na mtaji wa kitita cha hela ya rushwa kupitisha jina lako pia ccm bila kuwa,mwanga,mlozi na mshirikina utoboiCCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana.
Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi katika ngazi tofauti tofauti wanapambana kuakikisha wanahudumia wananchi kama ilani ijavyoelekeza.
Jiunge CCM leo uwe sehemu ya maendeleo ya nchi.
Wewe jamaa ni mjinga sana!Ndiyo maana hata kwenye teuzi hawakuangalii.Ukiendelea hivi utakufa masikini.It's the numbers that's what matters, not the brains, therefore don't underestimate the multitude of fools!. Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
P
Matarajio yapi mkuu ?CCM ndiyo chama kikuu cha siasa nchini na kikongwe Afrika. Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya kusuluhisha migogoro, kujiendesha kiuchumi, kujiongezea wanachama, na kina mfumo imara wa utawala na kuwajibishana.
Katiba ya CCM imeandikwa vizuri na imebeba matarajio ya wananchi. Viongozi katika ngazi tofauti tofauti wanapambana kuakikisha wanahudumia wananchi kama ilani ijavyoelekeza.
Jiunge CCM leo uwe sehemu ya maendeleo ya nchi.
Bado unaendelea tu kung’ata na kupuliza kuhusu CCM?! Ukipata teuzi utakuwa kama Sabaya, kwa kweli wewe sio mtu mzuri ndani ya moyo wako!Mkuu Pantosha , asante sana kwa bandiko hili, ila humu JF ukizungumzia kujiunga CCM... angalia kilichonikuta siku natangaza kujiunga CCM, nilitangaza siku ya tarehe 1 April, bandiko lile likafutiliwa mbali eti ni siku ya wajinga!. Nikatoa ushauri huu Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair