HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,632
asante mkuu ntakitafta,ntajaribu kuvitafta na hivyo vingine nita ku pm tutumiane kwa emailMimi kwa sasa nasoma Dirty wars : the world is the battlefield cha Jeremy Sachill kama unaweza kunitafutia Drones: Targeted killing moral , legal and geo political issues by Dr Marjorie Cohn nitakutumia vitabu vyote nilivyopanga kuvisoma mwaka huu 35
asante mkuu hicho kitakua next kukisoma baada ya cha mkuu hapo juuNasikiliza audio book ya allan quartemain na wenzake.
theme yake?48 Laws Of Power...
mkuu programming ni ngumu sana inahitaji utulize kichwa kweli.....asanteHow to program Java cha deitel, develop your psych power, physics for scientists and engineers, secret teachings of all ages, the canon of medicine cha Avicenna.
theme yake ni nini?PERFUMED GARDEN.
mkuu bahati mbaya nina soft copy,mlimani city pale kuna frame naona hua wanauza vitabu posta pia huwezi kosaMimi natafuta hardcopy ya the guide to investment,ya Robert Kiyosaki,nipo Dar.
na ni kweli kabisa mkuu huyo inaendana na teachings ansari kwenye hiki kitabu chake“The more you say, the more common you appear, and the less in control” (The 48 Laws Of Power )
theme yake?Humans of New York stories