Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

You're so irresistible....
You make me nervous....

Nkare nka mo kga kga-kga Tadimothwana.....


Dj kuchi ft han c rejection.
 
Sugu_hayakuwa mapenzi
Ngwair ft lady jaydee_mapenzi gani 🎧
 
Rudeboy ft patoranking forever.

Girl you give me joy everyday..girl you make happy every......


Girl I nooo regrettttt.

Anytime Wherever, however....
 
Hahaha umenikumbusha mbali ngoja ni tune.

Hii ni zaidi ya unavyofikiri,


....namba tasa si namba witiri.

Mamc nawamumunya kama pipi jojo...
Hahaha

No moja kushika sio kwa kasi ya Kobe/

Maji yakimwagika usizoe utazoa tope/

Mwenzako akiswali, swali kabla ujaswaliwa/

Pandisha morali morani aliyetahiriwa/

Mistari Si haba vina vinajaza kibaba/

Medani za shaba, ninaposimama kama Langa/

MC's wachanga wanajivika usupastaa/

Kimbilia suti na nepi bado hujavaa/

Mali imepata daftari hupotea bila khabari/

Nimechoka kuunguza utambi naunguza hadi kibatari/

Kwa mgongo wa chupa mafuta usinipake/

Mdomo usiwe mtumwa uliyeponzwa na ulimi wake/

Hivi ndivyo ninavyofanya, mama unayemlea mwana kumkemea Si kumkanya/

Hahahaha mkuu saiv uskizagi nin???.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha

No moja kushika sio kwa kasi ya Kobe/

Maji yakimwagika usizoe utazoa tope/

Mwenzako akiswali, swali kabla ujaswaliwa/

Pandisha morali morani aliyetahiriwa/

Mistari Si haba vina vinajaza kibaba/

Medani za shaba, ninaposimama kama Langa/

MC's wachanga wanajivika usupastaa/

Kimbilia suti na nepi bado hujavaa/

Mali imepata daftari hupotea bila khabari/

Nimechoka kuunguza utambi naunguza hadi kibatari/

Kwa mgongo wa chupa mafuta usinipake/

Mdomo usiwe mtumwa uliyeponzwa na ulimi wake/

Hivi ndivyo ninavyofanya, mama unayemlea mwana kumkemea Si kumkanya/

Hahahaha mkuu saiv uskizagi nin???.

Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda saana hiz ngoma hasa undergrounds...tatizo hizi mambo zina nyakati jomba ukiwa watoto huwezi sikiliza wanajifunza vikubwa mwanzoni.

Unaskiliza kwa kuibia.
 
Back
Top Bottom