Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

Banana Aliua sana...

"Njoo ucheze karibu namii..
Ni wakati wa commercial...
Ni wakati wa mabinti..."
AY ft Mwana Fa,Ray C & Banana-Safi hiyo.

Pini la Ukweli hilo..

Ay"Demu wa kibongo ukimuuliza boy, atakwambia sina boy,
Boy wangu kaenda Mtoni,
Huu tuite mchanga machoni,
AU profession fix a.k.a Buuushit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo nasikia nyimbo za nyuma kidogo.

Ndanda Cossovo-Chini ya Ulinzi..

Ndanda a.k.a Mjelajela,

Keko,segerea, kila kitu kwa foleni,shika kofia kumkono shika ndala kumkono...'Ugali kwa foleni.

Wanakula maganda ndizi bado za'wenyewe.


Nb:
Without Music, Life Would be a Mistake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom