Unasemaje kuhus hii picha?

Mkuu umenikumbusha tukio la kuanguka kwa ghorofa karikaoo, kwa mara ya kwanza tokea sikumbuki lini vyombo vya Kimagharibi Aljazeera na Sky News wameripoti tukio.

Sina hakika kama Tanzania hatujawahi kuwa na matukio mazuri yaliyohitaji coverage yao.
 

umemsahahu huyo aliyekuja na mikataba kumi na saba juzi tu.anaitwa CHINA.
 
kama huyo ndege angekuwa CCM basi angeishia kumrarua huyo chalii na kummalizia mbali
 
Kwanza alitaka kumla
Ila Mtoto nadhani alikuwa anasali hapo

Muujiza wa mungu ukatendeka
 
This is what we call "Angelic Support". Mungu hutuma malaika wake kwa njia mbalimbali kufanya kazi kwa niaba yake. Mfano ni Nabii Eliah, alihudumiwa na kunguru kama huyu mtoto. Big UP my GOD, My Dad, my Savior
 

Umenena vyema.
 
Hakuna, hilo dege linamlisha/linamnyesha mtoto ili angalau anenepe nenepe apate kumla akiwa amenona. Hivyo hivyo ndo watufanyavyo mafisadi..... anakuletea vimisaada kidogo wakati wa uchaguzi, halafu baada ya hapo anatorosha wanyama 104... akiwemo TIGWA, anaitwa hivyo kwa vile katoroshwa lakini kama angebaki TZ angeitwa TWIGA
 



Kama ni hivyo basi kazi tunayo watanzania kunako 2015.
 
Mh!mheshimiwa waziri tena?


Yeah ni mheshimiwa waziri mteule ila si malaya (mbunge). Nataka nimpe uwaziri wa afya kunako 2015 baada ya kushinda uchaguzi. Vipi kuna shida? Kama una ushahidi wa maovu na wasifu wake zaidi basi usisite kuja ofisini kwangu hapa Dar. Usiogope hutotajwa jina lako na shillingi milioni moja utapata kwa kutusaidia.
 
Personally ninaweza sema kuwa vulture ingawa huwa anakula mizoga, kwa kuona mtoto ana hali hiyo ingali kuna maji/chakula karibu, akafeel pity na kumletea maji/chakula.
Africa nchi jirani kuna chakula na maji na watu wengine, wanakula na kusaza wakati wengine hawana chakula wala chochote cha kunywa na hakuna wanao dare kuwasaidia wengine but kutazama matumbo yao na familia zao tu while they have enough! hatujitoi kuwasaidia wahanga wa majanga mbalimbali.
Kwa roho hii tuliyojijengea, itafika mahali hata vulture (ambaye huwa anafurahi kuona kiumbe kinakaribia kufa) ataingiwa na huruma na ku do something while we are too busy with our own selfish lives!
Unasaemaje kuhusu hii Picha? Ipe maneno Picha yangu hii.......

 
kwa hakika nafikiri huyo ni china ,marekani na wenzao wkimfariji mwafrika kwa bakuli la maji (vifuko vya dola) huku wakibeba kila kinachotakiwa kwao na kuacha mifupa tu kwa wasidiwa,.
 
Teh teh teh!sawa mkuu!
 
Unasaemaje kuhusu hii Picha? Ipe maneno Picha yangu hii.......


Huyo ndege anawakilisha CCM, huyo mtoto ni mlalahoi anayepiga kelele na kutapatapa kwa njaa. Na kwenye hilo bakuli kuna sumu ya kum RIP mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…