Unasemaga asante baada ya tendo la ndoa?

Loh!! Pamoja na kuwa na mwandiko mzuri kiasi hicho kumbe bado haujaanza kulala nalo? Kweli wanaume wamekwisha.Nakuombea upate haraka
 
kwa hiyo hata kufuta hilo dudu hufuti? me napenda ukimaliza usubiri kidogo kama dakika mbili ndiyo utoe si unakojoa unaruka kama ulienda kutupa uchafu jalalani unakimbia sababu ya harufu kali ya uchafu .....

Asee ndo mapenzi ya kichaga aya
 
Unasemaga asante baada ya tendo la ndoa? Ama unafikiri haina haja ya kushukuru kwa maana ni haki yako? Mimi huwa ninashukuru wewe je?
Daaaaahhh bnafs jaman kwanza uwa napata raha sana nkiwa namkaza mwanamke mpk kumwaga... Thus why nsimshukuru? Yaan lazma nimshukuru + makiss ya maana, dah mungu wetu alifanyaga la maana sana kutuletea wanawake,... Ila, bnafsi mwanamke ata acponishukuru its ok mana najua ni wajibu wangu kufanya ivo kwake... Ata iweje yan, lazma nimshukuru mana daaahh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…