Unasafiri bila taarifa

 


anafanya kazi gani?

kama yupo kitengo ,ndiyo nature ya kazi yao hiyo.......kama siyo ,basi ndoa ndoano
 
kama alikuwa hafanyi hivyo, uwezekano mkubwa ni kuwa anacheat. dawa yake mpende kuliko zamani, wapende watoto wako, kuwa msafi mwili na roho, acha kumuulizauliza kuhusu hiyo tabia wala usimkasirikie. fanya kama hakuna kinachotokea.utaishi maisha ya raha sana na kuifurahia ndoa yako.
 
Mi nnavyopenda ligi! Next atasikia tu namrudishia sms yake ila naedit alipoweka singida mi naandika beirut.
Makusudi ya kwenye mapenzi i cant tolerate kabisaa!
 
Mjasilia mali

nasisitiza chunguza vizuri kazi yake ,,,,,ujasiriamali unaweza ukawa cove-up ya nature ya kazi anayofanya. vinginevyo kama ni makusudi basi hapo hamna ndoa.


aiseeeh hii yako inahitaji moyo mgumu kutekeleza
 
Cha msingi kifind out hicho kichenchede kinachomnyima utulivu then muombe ampunguzie root akae akijua nawewe unamuhitaji pia na ikiwezekana pangianeni zamu kiroho safi
 
Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya kupokea Oda tu.

Mwanaume wa ukweli hana ratiba maalum ndani ya nyumba yake. Unataka akuage ili uite mpango wa kando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…