Unaponunua kiwanja vi2 gani vya kuzingatia?

Ukubwa,
umbali from Main Road,
Miundombinu,
Uhalali wake,
Bei yake,
Matumizi yake,
Neighbourhood,
Umbo lake,
N.k
 
karibu mdau

k2 cha kwanza angalia sehemu kiwanja kilipo kama pametengwa kwa ajiri ya makazi
2. angalia aina ya kiwanja kama ni low density au high density vya low density vinaanzia sqm 1,500 na kuendelea kinakuwa na uwanja mkubwa nyumba na eneo linakuwa na nyumba chache zenye mpangilio mzuri na za kisasa viwanja hv hata bei huwa juu
3. uharali wa nyaraka zilizopo na hapa angalia sana kiwanja kisiwe na mgogoro
4. kwangu mbali sio jambo kubwa sababu viwanja vya serikali vyote vinafikika sasa huwezi sema mbali utaulizwa ni mbali kutoka wapi .
5. pia angalia umri wa hizo title kwa mfano hapo mikocheni kama hauko makini unaweza nunua kiwanja au nyumba kwa bei ya chini kumbe zile hati walipewa za miaka 33 na wengi zimebakiza miaka 3 na serikali wanagoma kuwaongea mikataba wanaongeza kwa watu wanaojenga gorofa tu .

kwa leo inatosha
 
karibu mdau

k2 cha kwanza angalia sehemu kiwanja kilipo kama pametengwa kwa ajiri ya
makazi
2. angalia aina ya kiwanja kama ni low density au high density vya low
density vinaanzia sqm 1,500 na kuendelea kinakuwa na uwanja mkubwa
nyumba na eneo linakuwa na nyumba chache zenye mpangilio mzuri na za
kisasa viwanja hv hata bei huwa juu
3. uharali wa nyaraka zilizopo na hapa angalia sana kiwanja kisiwe na
mgogoro
4. kwangu mbali sio jambo kubwa sababu viwanja vya serikali vyote
vinafikika sasa huwezi sema mbali utaulizwa ni mbali kutoka wapi .
5. pia angalia umri wa hizo title kwa mfano hapo mikocheni kama hauko
makini unaweza nunua kiwanja au nyumba kwa bei ya chini kumbe zile hati
walipewa za miaka 33 na wengi zimebakiza miaka 3 na serikali wanagoma
kuwaongea mikataba wanaongeza kwa watu wanaojenga gorofa tu .

kwa leo inatosha

Thanks mkuu, nasubiri pia na hiyo kesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom