Unapoangalia angani (GOD is GREAT)

mtzima

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Ndege hapa wanatukumbusha ujumbe flani kutoka kwa Mungu wana JF naomba tushee wewe unafikiri ni ujumbe gani?mimi nimepata ujumbe wa kuwa na furaha bila kujali matatizo niliyokuwa nayo.



​
 
Naona usiku unaingia hapa, muda wa kwenda kula.

je wewe?
 
kuna wimbo ameimba rose muhando unasema tazama mungu anacheka, ndio huyo nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…