excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Huyo kasema jini! Haya sema kama nae ni oetHata nyoka wapo kwenye group la PETS
Huyo kasema jini! Haya sema kama nae ni oetHata nyoka wapo kwenye group la PETS
Kuku........Ili akiniuzi........namgeuza asusa..........
paka sasa au umbwa........mweeee........bora hata sungura.........utamuweka spices........
Unavyoongelea majini ni swala lingine na linaitaji uchambuzi wa hali ya juu. Majini wao wapo kwenye kundi la Petters.Huyo kasema jini! Haya sema kama nae ni oet
mi nafungua bucha!
utakuwa wa kwanza kuhudumiwa...!