Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
linapokuja swala la kufuga mnyama nyumbani kama nyau au mbwa au wengi wetu tuna tofauti mbalimbali zinazotufanya tumpende mnyama flani kuzidi wengine binafsi napenda kufuga paka wewe je
sungura.....
mimi nafuga majini !
Mi ntafuga mbwa makusudi kabisa nije kwako kuwinda! lol..
![]()
hahahha
Ushaanza kufuga na mimi nianze?
Hata nyoka wapo kwenye group la PETSjitambue wewe!
umeambiwa pets!
ila wanasema mtoto wa nyoka...