mtoto siyo wa huyu baba hapo
Nilivyoelewa mimi maneno hayo yanawazwa na huyo mwanamke kwamba huo ujauzito ni matokeo ya kukutana kwao lakini labda huyo baba kabambikiwa sio mzigo wake!
Mkuu kuja upya, kwamba huo ujauzito Ni matokeo ya kukutana kwao....lakini labda huyo Baba kabambikiwa?
mawazo yangu haya jamaa hana amanikwa nini?