Unapanda Basi gani kuelekea 2015

ACT..Basi makini lenye kasi na kiwango cha hali ya juu.... ACT ndio basi litakalowafikisha watanzania kwenye nchi ya maziwa na asali
 
Kazi ipo.EATV inaweza kuwa chombo kizuri cha kuwahabarisha vijana kuchagua viongozi waliobora.Na hata kuwashawishi vijana wenye maono ya UTAIFA kwanza kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea uongozi bila kujali itikadi za vyama vyao,kabila wala dini zao.Wangetakiwa waanze sasa!
 
Chadema.
M4c.
Raisi wangu mtarajiwa dk.w.p.slaa.
 
ACT..Basi makini lenye kasi na kiwango cha hali ya juu.... ACT ndio basi litakalowafikisha watanzania kwenye nchi ya maziwa na asali

Jikite kwenye hoja umeambiwa chagua A au B sasa wewe unaleta mambo ya ACT?
 
mkuu unakitu unataka kukiweka sawa,ila bado hujakimalizia vyema,hebu tupe darasa hapo kuhusu EATV
 
Jikite kwenye hoja umeambiwa chagua A au B sasa wewe unaleta mambo ya ACT?

hayo mabasi yote hapo juu ni mabovu..yamebaki skrepa.. hakuna la kupanda.. ACT ndio basi makini sana
 
Mbona sjaona basi langu la UKAWA au madereva wako M4C?
 
hilo basi la pili litatoka ubungo lini??mpaka bukoba litatumia miezi miwili kama meli
 
hilo basi la pili litatoka ubungo lini??mpaka bukoba litatumia miezi miwili kama meli

wanasema eti basi la pili ni la kijerumani na la kwanza ni la kichina,yakianza safari,eti wanasema basi la kichina linachoka mapema haliwezi kupanda milima,ila eti hilo la mjerumani mwendo wake ni kama kinyonga na mlima lazima upandwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…