Unaona nini?

Ha ha haaaa, duh kweli ni 'lamp', ila ilivyooooo mh!
 
Siamini ni ni taa. Twende kwa mbele mguu juu. Ohohhhh
 
hahhaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Naona kama mashine ya kutwanga na kupepeta!!
 
Hapa lazima uwe makini vinginevyo mawazo yako utayapeleka kule kwa mambo yetu yaleeee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…