secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,069
- 42,910
Siku nikiwa na wewe nitatulia tuli.πππhiyo kampeni yako unaimaliza lini?
Basi hautoacha kumbe ππSiku nikiwa na wewe nitatulia tuli.
Sasa kama huna wa kulala naye unafanyeje.Una usingizi....kalale
Haya mlale salama wapendwa
Mungu kaniambia niache kwa sababu utalewa na kulala mtaroniMungu kanambia uninunulie mvinyo
Nipo dokta,. Niambieupo bibie
AmenSalama ni kheri uzima ukiwepo
Unataka tu kuleta sintofaham na kuvuruga amani yetu jamiiforum πKuna mtu nam miss sana humu jf.....
Nikwambie I miss u so much mara moja moja huwa nakuona nakupa like!!!!!
π€£π€£π€£Amesema uwe pamoja na mimi mwanzo mpka mwisho hakuna kuniachaMungu kaniambia niache kwa sababu utalewa na kulala mtaroni
Kuna mtu nam miss sana humu jf.....
Nikwambie I miss u so much mara moja moja huwa nakuona nakupa like!!!!!
Like!Kuna mtu nam miss sana humu jf.....
Nikwambie I miss u so much mara moja moja huwa nakuona nakupa like!!!!!
Pole sana,, nishawahi kujiokotea gentleman wangu humu ndani. We endelea na sintofahamu yako.Unataka tu kuleta sintofaham na kuvuruga amani yetu jamiiforum π
Like!!! May be like you but not you!.Like!
Sasa si ungesema tu kwenye ile comment kuliko kuniweka roho juujuu?ππPole sana,, nishawahi kujiokotea gentleman wangu humu ndani. We endelea na sintofahamu yako.