Unanipa shilingi ngapi?

Sure mkuu,,,haya haya ya mtaani, mnakaa wote mnaenjoy, vibomu vya hapa na pale Kama Kama unamsapoti, alafu siku linakuambia unanipa sh ngapi ! Stimu inakata kabisa
 
Ndio maana yake
Af tuone hasara kwa nani hapo
Ikibidi tunajichukulia Sheria mkononi ! Lakini na nyie si mnaenjoy ? Mnatubania as if na nyie hamuenjoy au hamna haja
 
Sure mkuu,,,haya haya ya mtaani, mnakaa wote mnaenjoy, vibomu vya hapa na pale Kama Kama unamsapoti, alafu siku linakuambia unanipa sh ngapi ! Stimu inakata kabisa
Kuliko kutumia na mwanamke mjinga asiyejielewa, request utamu online tu kama ubber na unafanyiwa delivery na bonus ya Masaji juu.
 
Kama pesa huna achana na hawa wadada warembo tafuta sura konzi wao hua hawaombi pesa na wakipenda wamependa
 
Unampa chake unapita hivi, hakuna stress
 
Kama pesa huna achana na hawa wadada warembo tafuta sura konzi wao hua hawaombi pesa na wakipenda wamependa
Tutawala na pesa hatuwapi, utamu si wote tunapata ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…