Unanipa shilingi ngapi?

Msituuzie live live Sasa ! nikikuomba, nipe, hela ntakupa ,,, ukiniuzia live hata siku ukikwama Jambo nitataka nikulale kwanza ndo nikusaidie! Tit for tat! Ndiko tulipofikia ?
Ujue mwanamke akikuelewa/akikupenda kweli hawez lia lia shida mapema hivyo kuna kaaibu hivi kanakuwepo . Ukiona hivyo viashiria ujue huyo ni mfanya biashara, mjiongezage.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi mbadili aina ya wanawake mnaowatokea.

Kama anajielewa na akikupenda anakupa bure na nauli ya kuja anajigharamia.
Ni sAwa,,, huyo Ni yule wako permanent! Sasa Kuna zile mtu wako hayupo amesafiri, unataka kupasha kidogo ndo unakutana na hii kadhia ,,,
 
Haswa mkuu , nyege wanazo ni timing tu ! Hili libonge langu linaishi kwa Dada yake kaolewa, naona ni ligraduate Bado mchongo wa kazi halijapata,,, Sasa hapo limebanwa halina uhuru,,, weekend Shem na Dada yake wapo, na ndo mm Nina muda, alafu week days mchana linasema hata masaa mawili ya kujiibia linayo, tatzo na mm nakuwa job ,, this week ntatoroka nije Nile mema ya nchi, ntajilipua nishaambiwa niandae zawadi
 
Ni sAwa,,, huyo Ni yule wako permanent! Sasa Kuna zile mtu wako hayupo amesafiri, unataka kupasha kidogo ndo unakutana na hii kadhia ,,,
Yaani unataka mchepuko akutreat kama main? Hamna hiyo kitu

It's obvious yuko kibiashara zaidi, so umpe tu kiasi anachotaka otherwise tulia hadi baby wako akiwepo ndio akupe vya bure.
 
Ujue mwanamke akikuelewa/akikupenda kweli hawez lia lia shida mapema hivyo kuna kaaibu hivi kanakuwepo . Ukiona hivyo viashiria ujue huyo ni mfanya biashara, mjiongezage.

Sent using Jamii Forums mobile app
ufupi na urefu kila mtu anataka hela, duniani hakuna mtu asie penda hela.. Mwanamke kutaka hela ni sawa kabisa na haki yake, na mwanaume kumpa hela ni wajibu wake na anatakiwa kufanya hivyo.. sema sasa hivi hiki kizazi watu wana nyege sana .. na huwezi to access ya mwili wako bila mipaka na hiyo mipaka ndio hizo hela mnazo hitaji.. mpo sawa kabisa kutaka hela mtapendezaje sasa..
 
Mpelekee seti ya vyupi vya kisasa kama zawaidi! Utanishukuru badae
 
Utafaidi mzee, mabonge huwa mazuri sanaaa.. wakilisha vema mzeee.. alafu huwa yana nyege sanaa mabonge bonge
 
Yaani unataka mchepuko akutreat kama main? Hamna hiyo kitu

It's obvious yuko kibiashara zaidi, so umpe tu kiasi anachotaka otherwise tulia hadi baby wako akiwepo ndio akupe vya bure.
Hata baby hakupi Bure mkuu sema ni indirect , wanaume tumeumbiwa mateso
 
Jibu lipo hapo kwenye "mtaani pagumu" kama unacho mpe tu au muoe kabisa
Sasa si bora umuite ambaye ni biashara yake rasmi na mkikubaliana anakuja kizazi?

Kwanza wanaouza utamu anachotaka ni ile pesa yake mliyokubaliana tu vingine ni mwanaume mwenyewe afanye kama bonus tu yani chakula na vinywaji hata usipofanya hivyo yeye wala hana tabu anakunja mshiko wake tu.

Siyo lidada uko nalo full time mnakula shangwe wote, laki mbili mmekata wote anapiga desperado kama maji halafu muda wa kumbinuwa akuulize unampa sh ngapi? hata Mimi nakutimuwa on the sport na nafanya replacement muda huohuo.

Mwanaume yeyote anayejitambuwa anajuwa wajibu wake ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…