kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,171
- 15,862
Au unanipa zawadi gani? Ndio msemo maarufu wa wadada siku hizi, ukimzoea kidogo tu, ukaonyesha interest ya kutaka utelezi utakumbana na hiyo kauli, plus vibomu visivyoisha. Mtaaani pagumu Sana wanauza indirect.
Binafsi nikikutana na mdada wa hivi hata Kama mzuri Sana huwa nampotezea haraka Sana, labda Nina tatizo sijawahi kwenda kununua wale wanaojipanga.
Mwanaume unaejielewa huwezi kulala na mwanamke usimpe chochote kitu, au ile umezoeana nae huduma anakupa lazima uwe walau unamsapoti sapoti, hii ananiambia kabisa tubagain Kama nanunua nyanya imenishinda!