Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Msomaji,Kama weweSasa unamuuliza nani?
[emoji41][emoji7]Happy father's day
[emoji18][emoji41][emoji7]
Dats so great, sometimes ukali wa msure si mbaya Kama akisimamia mema na akajua wajibu wakeOf course mzee wangu mkari sana
Ila jambo jema anaupendo na anajari sie wanae
I love yuh baba
Ni mdhaifu kwa mama [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Anajali familia yake.
Anatupenda.
Ni mkorofi pale familia yake inapoguswa.
Na ni mdhaifu sana kwa mama.
Huyu ndiyo baba yangu.
Happy father's day to all fathers out there.
Yaani mama sijui anampaga nini Mzee maana akisema kitu baba ni ndiyo ndiyo mke wangu.No mdhaifu kwa mama [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mama ndo kiboko yake siyo
Amempa wewe na wadogo zakoYaani mama sijui anampaga nini Mzee maana akisema kitu baba ni ndiyo ndiyo mke wangu.
Ooooh sorry pole sana dia ,may Almighty God comfort youR.I.p baba.daima nitakukumbuka.
Asante diaOoooh sorry pole sana dia ,may Almighty God comfort you
Msamehe bureKwa kuwa Baba alinitelekeza na kunitoa zawadi kwa Mama, leo sina hata cha kumwambia.
Jamani pole sana ,pumzika kwa amani mama na babaMy dearest father..
Pamoja na machungu mengi na kufanya maisha yetu kuwa magumu, tukinyanyasika na kupigwa danadana na ndugu ilhali wewe ulikuwa hai ukitumbua na vimada wa kila aina....
Pamoja na kumtesa mama, kumpiga kumnyanyasa, kumdharau, kumdhalilisha na hatimae mauti yakamkuta na wala usiende kumzika.....
Bado ninacho cha kukushukuru, asante kwa kunileta duniani. Asante kwa kunipitisha kwny tanuri la moto toka nikiwa mdogo, imenisaidia kuishi na watu wa kila aina.
Thank u for shaping my life father. I hope upo mahali palipokustahili. May u rest in peace.....
Happy fathers day.