Don't underestimate the people, JK is beatable!!
Hili ni swali zito, nani asimame na JK? Dr Slaa akisimama atakuwa na mengi tu ya kutamka mbele ya watanzania ya kumfanya Kikwete angalau atoke kwenye comfortable zone alipolala usingizi na kujua kwamba yeye sio mmliki wa hii nchi.
5. Bht1. Dr. Slaa.
2. Sikonge.
3.king of kings
4. Masanilo kugema
7. TanzaniaLabda huyu Dr. Slaa anatakiwa KUAMSHWA. Nimeona tufanye SENSA ya haraka haraka humu ndani ya JF. Kwa wale wote wanaoona DR SLAA agombee mwaka huu basi hebu jiandikishie jina lako tuone mwisho wa wiki tutakuwa wangapi. Tujitokeze kwa wingi ili kumuonyesha Dr. Slaa anavyohitajika.
Dr. Slaa, samahani nimeamua kuanzia jina lako kwa makusudi kabisa maana JEMADARI lazima awe mbele na wengine watafuata.
1. Dr. Slaa.
2. Sikonge.
3. King of kings
4. Masanilo kugema
5. Fidel80
6. Bht
7. Tanzania
8. Ndege ya Uchumi
9. Jiwe
10.Technician1. Dr. Slaa. 2. Sikonge. 3. King of kings 4. Masanilo kugema 5. Fidel80 6. Bht 7. Tanzania 8. Jakathesi
13. Jokofu Kiwete
Naomba nitofautiane na wote hapo juu kwa hili mimi sisimami kuhesabiwa ninazo sababu,
kwanza... Dr. Slaa mwenyewe kasema wazi hagombei kwa hiyo si busara kumlazimisha
pili... kumlazimisha kama alivyosema inaweza kuwa mbinu ya sisiem kumvunja nguvu mwenyewe na jimboni kwake
tatu... si kila jemedari mkuu lazima atangulizwe mstari wa mbele vitani kuna athari zake atakapoanguka
nne... bado naona nafasi aliyonayo ya uwakilishi bungeni inamfaa zaidi ya kukimbilia urais
tano... chama chake hakijaamua ni nani tuwape nafasi vijana wengine zaidi ya kumtegemea mtu mmoja tu
mwisho... kusema hayo si kuwa sithamini mchango wake nauthamini sana ila uongozi bora hupatikana popote si lazima kwenye ngazi ya urais tu.
Kilembwe