Unamshauri nini huyu kijana?

Yoda ni wewe?
 
Huyo kijana ni nani yako,halafu kwa unavojifanyaga makini kwenye kuchangia hoja kwenye thread za watu wewe sio wakushindwa kulitatua hili
 
Dogo asaidie tu kwa kile anachumudu Wala asilazimishwe.
Wamuache atengeneze maisha yake kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…