uNaMlAzImIsHa mTotO aOmBeE cHaKuLa??? oNa sAsA....!!!

uNaMlAzImIsHa mTotO aOmBeE cHaKuLa??? oNa sAsA....!!!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Wakati wa msosi dingi
anamlazimisha dogo
aombee chakula, dogo
akawa hataki lakini baada
ya kulazimishwa sana
akaanza kuombea chakula ili wale. Akaanza: "Ee Mungu
nakushukuru kwa
kutubariki na
kumuwezesha baba kupata
hela na kutuletea chakula.
Naomba umbariki na baba yake Joni mlafi ili Joni aache
kuja kudowea chakula
kwetu. Naomba pia
umbariki Tino ambaye ni
kaka yake Joni aache kuja
kila siku kumvua dada nguo na kucheza naye
sarakasi kitandani wakati
baba na mama wameenda
kazini. Natumaini
utambariki na hatacheza
tena sarakasi kama kawaida yake. Naombea
pia wasio na mavazi.
Tafadhali wabariki na
wajalie nguo wanawake
wote wasio na nguo hata
kidogo ambao baba amejaza picha zao katika
simu yake. Hakika Baba,
nao pia wanahitaji nguo
kujisitiri. Mwisho kabisa
naomba umpe nguo na
makazi ya kudumu yule mwanaume ambaye huwa
anakuja kulala na mama
wakati baba akisafiri
kwenda nje ya mkoa
kikazi, Amen!" Hakuna mtu
alikula chakula siku hiyo mwanawani.
Patashikaaaaa!
 
Bongo, ukisema ukweli huna akili. Kweli.
Wewe uliyesema hana akili huyo mtoto, we unazo. Kama unazo kwa nini huwa unamsaliti mmeo* mkeo* au mchumba* wako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom