Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,965
"Na hii mkufu unauzaje unauzaje alfu tatu ongeaa naeeeeee mpaka mwisho alfu Moja, na hii saa unauzaje unauzaje alfu mbili ongea naeeeee mpaka mwisho alfu Moja"
Hapa wengi lazima waliipendaNilikuwa namkubali style yake ya kipekee aliyoichagua ktk uimbaji wake.
Kwani kati ya hao mangi na mzungu ni nani alitoka na kwenda ulaya kuwaambia wazungu kuwa Kuna mlima mkubwa Afrika?Maneno mbofu mbofu.
Tunaambia watoto wetu mlima Kilimanjaro kagundua Rebman wakati akina mangi walikuwepo na wamezaliwà wanauoana hapo hapo.
Nadhani hujaelewa nilichoandika katikq maelezo yangu sijaandika popote mlima mkubwa pia mlima haupimwi kwa ukubwa bali urefu nikusahihishe .Kwani kati ya hao mangi na mzungu ni nani alitoka na kwenda ulaya kuwaambia wazungu kuwa Kuna mlima mkubwa Afrika?
Au wewe ulitaka huyo mzungu asemeje kwa wenzie?
Nadhani hujaelewa nilichoandika katikq maelezo yangu sijaandika popote mlima mkubwa pia mlima haupimwi kwa ukubwa bali urefu nikusahihishe .
Mlima umekuwepo muda mrefu sana hapo, hata jina lenyewe ni asili ya hapo hapo
Sasa huyu mzungu kusema aligundua mlima inakuwaje sawa katika mizania ya kimantiki kwa muktadha huo?
Mjerumani akauita " Kilima-Ndscharo"
Asili ya jina inabeba maana ya "chui/ndege asiyeshindwa kwa makabila ya kibantu karibu na mkoa wa Kilimanjaro.
Mzungu yupo sahihi kusema kagundua huo mlima kwa sababu ni yeye aliyetoka ulaya kuja Afrika hivyo vyote alivyoviona kwa wenzake ni ugunduziNadhani hujaelewa nilichoandika katikq maelezo yangu sijaandika popote mlima mkubwa pia mlima haupimwi kwa ukubwa bali urefu nikusahihishe .
Mlima umekuwepo muda mrefu sana hapo, hata jina lenyewe ni asili ya hapo hapo
Sasa huyu mzungu kusema aligundua mlima inakuwaje sawa katika mizania ya kimantiki kwa muktadha huo?
Mjerumani akauita " Kilima-Ndscharo"
Asili ya jina inabeba maana ya "chui/ndege asiyeshindwa kwa makabila ya kibantu karibu na mkoa wa Kilimanjaro.
Usihangaikemfafanulia sana Mkuu, mpe mfano rahisi kabisa yeye atokehapo alipo aende mkoa mwingine alafu akute jengo refu huko alikoenda alafu siku akirudimkoani kwao aende kuwaambia ndugu zake amegundua gorofa refu mkoa alioenda 😂😂Nadhani hujaelewa nilichoandika katikq maelezo yangu sijaandika popote mlima mkubwa pia mlima haupimwi kwa ukubwa bali urefu nikusahihishe .