Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?


xo romantc
 


Duuuh!!
 
Kama ilivyo mapenzi yana run dunia, kila mmoja wetu watakua anae msichana au mwanaume wake aliyekuwa wa kwanza kumpa utamu wa dunia.

Je tunawakumbuka hawa watu kwa wema wao wa kutupa raha zako miaka ile
mimi namkumbuka sana Halima ndala ndefu wangu na penzi lake motomoto kule machakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapa tunataja wapenzi au wale tuliokata nao utepe? Sio lazima muwe wapenzi kufanya uzinduzi, wengine wamezindua kwa ridhaa, kubakwa, one night stand nakadhalika.

Hata hivyo inasaidia nini kwa sasa?
 
Life is now.

Tatizo wengi hatushi maisha ya sasa. Mtu anaendeshwa na mambo yaliyopita huku ana wasiwasi wa yale yajayo. Anashindwa kufurahia maisha aliyonayo sasa....ila mtaje tu! Hahahahaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…