Unamkumbuka Dk. Leakey Abdallah?

Fainali za World cup mwaka 2006 mechi ya nusu fainali kati ya Italy vs Germany, alisema Italy ni kama sponchi inavyoweza kustahimili maji. Hivyo ukiwapelekea mashambulizi wao wanayakabili tu bila shida yeyote. Germany akafa goli 2 kwa 0 chuma zote zimeingia extra time baada ya dakika 90 kumalizika 0-0
 
Mzee alikuwa fundi ana reference za kutosha😂
 
2006 fainali ni kati ya Italy na France sio Germany.

Tukio maarufu ni red card ya Zidane kufuatia kumtwika kichwa Materrazi.

Recheck your facts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…