Unamkumbuka Amrish Puri??

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,720
Reaction score
4,995
Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la AMRISH PURI...je una hisi katika kizazi hiki cha filamu za kihindi anaweza akatokea mtu kama AMRISH PURI tena?....nawasilisha
 
Zama hz hakuna km yeye na alidead 1995. Was Katili babkubwa in movies
 

Ndie Ashanti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…