muchina omuchina kihengu
Member
- Dec 14, 2016
- 35
- 43
Hahaha wewe haupo nchi hiiBado sijamfaham
Umempa ngapHahaha wewe haupo nchi hii
Jamaa anajua sana sijui hata nimpe ngapi, ila kiufupi kawafunika comedians woteUmempa ngap
Bado sana ana muda wa kujifunzaUyu ni up coming artist kwenye sekta ya uchekeshaji kama alivyo,jina la sanaa anajulikana kama MKALI WENU,
Je unamkubali kwa asilimia ngapi??
Nimwonavyo, na alivyovaa, kaathiriwa sana na Futuhi. Nampa 30%Uyu ni up coming artist kwenye sekta ya uchekeshaji kama alivyo,jina la sanaa anajulikana kama MKALI WENU,
Je unamkubali kwa asilimia ngapi??