Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Jun 26, 2013 #1 Ni nani na ushwahi kumuona wapi??? Attachments 1011146_210003389147441_982458572_n.jpg 19.3 KB · Views: 983
emma-chriss Senior Member Joined Mar 16, 2011 Posts 100 Reaction score 16 Jun 26, 2013 #2 Kubwa la maadui-bado liko hai?
Django JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 354 Reaction score 147 Jun 26, 2013 #3 asigwa said: Ni nani na ushwahi kumuona wapi??? Click to expand... Huyu anaitwa mzee ASHANT kubwa la maadui katika movie za kihindi miaka ya 1990 wakati mimi naangalia movie za kihidi ame act movie kama vile TELL ME LIBNIA na nyingine nyingi sana
asigwa said: Ni nani na ushwahi kumuona wapi??? Click to expand... Huyu anaitwa mzee ASHANT kubwa la maadui katika movie za kihindi miaka ya 1990 wakati mimi naangalia movie za kihidi ame act movie kama vile TELL ME LIBNIA na nyingine nyingi sana
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Jun 26, 2013 #4 Kidogo afanane na marehemu General Mohamed Zia Ul-Haq
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Jun 26, 2013 #5 jamaa yuko gado, juzi kati nimeona movie yake mpya....
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 26, 2013 #6 simjui hata kdg
R rasai JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 230 Reaction score 335 Jun 26, 2013 #7 emma-chriss said: Kubwa la maadui-bado liko hai? Click to expand... alishafariki mda huyu
Kipaji Halisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 2,280 Reaction score 1,364 Jun 26, 2013 #8 shakh kapoor..kitu kama hicho...alisha act movie kenya..inaintwa Vishwatma."aliongea na kiswahili,,"mimi kubwa sanaaaa"
shakh kapoor..kitu kama hicho...alisha act movie kenya..inaintwa Vishwatma."aliongea na kiswahili,,"mimi kubwa sanaaaa"
Simba Mkali JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 620 Reaction score 243 Jun 26, 2013 #9 asigwa said: Ni nani na ushwahi kumuona wapi??? Jina lake halisi ni Amrish Puri ameshafariki huyu bwana/QUOTE] Click to expand...
asigwa said: Ni nani na ushwahi kumuona wapi??? Jina lake halisi ni Amrish Puri ameshafariki huyu bwana/QUOTE] Click to expand...
Simba Mkali JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 620 Reaction score 243 Jun 26, 2013 #10 asigwa said: Ni nani na ushwahi kumuona wapi??? /QUOTE] Jina lake halisi ni Amrish Puri, ameshafariki muda mrefu. Click to expand...
asigwa said: Ni nani na ushwahi kumuona wapi??? /QUOTE] Jina lake halisi ni Amrish Puri, ameshafariki muda mrefu. Click to expand...
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jun 27, 2013 #11 asigwa said: Ni nani na ushwahi kumuona wapi??? Click to expand... Majestic cinema!
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,662 Jun 27, 2013 #12 kabanga said: jamaa yuko gado, juzi kati nimeona movie yake mpya.... Click to expand... Kumbuka mdau alishafariki zaidi ya miaka kumi iliyopita.
kabanga said: jamaa yuko gado, juzi kati nimeona movie yake mpya.... Click to expand... Kumbuka mdau alishafariki zaidi ya miaka kumi iliyopita.
Big Daddy Member Joined Nov 18, 2011 Posts 32 Reaction score 7 Jun 27, 2013 #13 Jamaa anaitwa Amrish Puri, kishafariki kitambo..movies zake zote alikuwa na roho mbaya mpaka watoto walikuwa wanamuogopa mtaani
Jamaa anaitwa Amrish Puri, kishafariki kitambo..movies zake zote alikuwa na roho mbaya mpaka watoto walikuwa wanamuogopa mtaani
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,974 Reaction score 2,492 Jun 27, 2013 #14 simjui