Unamfahamu huyu?

Ila south katumalizia watanzania sio siri duh nchi ya ovyo sana kiusalama duh! kuna kipindi nilikuwa nasoma kule yaani nikujifungia tu ndani ukitoka class hakuna raha yeyote wabongo nilioshudia wakiuwawa nikiwa kule sio chini ya 5 ndani ya miaka 3 niliyokaa kule.

Angalia kijana alivyomdogo duh kuna haja ya kuangalia mahusiano yetu na south kidiplomasia.
 
Nasikia mkifika huko mnachukua mademu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…