stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,998
- 4,256
Jaribu kumtambua[emoji3]View attachment 1120097
[emoji3][emoji3][emoji3]Mbona kama Kala Jeremiah au nimemfananisha
Haya[emoji3]Ngoja niweke siti nitarudi kusoma
[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu lazima itakuwa anakula Ugali wa sembe toka Mexico.
Kala huyo
Kufika wapi??..Kuchoka kimaisha ama??..Kwann hawezi??Kala awezi kufikia apo itakua ni editing huyo au ikute ni kichupa kipya anaachia
Daah kama baba yangu kule kijijiniTazameni uso na ngozi yake, huyo hajachoka isipokuwa hajanyoa tu.
Probably ni kwa ajili ya shooting. Juzi kwenye kuadhimisha MV Bukoba ambayo huwa ni Birthday yake as well alihojiwa akasema kuna project anakuja nayo!