Unamfahamu Curtis Ibinza? Soma hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unamfahamu Curtis Ibinza? Soma hii

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kichwat, Jun 13, 2012.

 1. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/277839-nimewakamata-wezi-wa-ajira-mtandaoni.html#post4046546
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  vP USHAMTAMBUA NI NANI HUYU JAMAA? MANAKE NIMEJARIBU FACEBOOK, NA GOOGLE NIMESHINDWA KUMPATA..GIVE MORE DETAILS MAN...HUYU MTU NI MWIVI ONLINE
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  mzigo unarudi kwa TCRA na wenye mitandao. Labda watu wanatumia utambulisho fake, labda mfumo unavuja.
   
 4. N

  Nyauuu Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana JF hii bongo bwana, syo rahisi kutrace mtu kama huna resources za uhakika hasaa kama mtu kaamua kudanganya hapa bongo. Nauhakika huyo mtu hakutumia line iliyo sajiliwa kwa jina lake halisi nakama mkimpata basi siye aliyefanya hilo tukio manaake nimesikia hua kuna line zilizo sajiliwa, tayari kwakutmia na hua zinauzwa mitaa ya mjini, hiyo inamaanisha sirahisi kumpata huyo mtu kwanjia ya mtandao, hasa kwa facebook, google au line yake mwenyewe, lazima alichukua tahadhar zaidi kabala yakufanya hivyo!
   
Loading...