Icon Special
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 257
- 230
Wanatoga mpaka papuchiUna mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI .... Ndugu yangu hv unatk kumuona shetan wa aina gn[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]?????
😳😳😳Wanatoga mpaka papuchi
Mwenye mapembe na mkiaUna mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI .... Ndugu yangu hv unatk kumuona shetan wa aina gn[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]?????
Mkuu naona utakuwa umecreem, coz Kuna mashetani wa Aina nyingi anaweza kuwa, jini Binaadam, mdudu au hata mnyama VP asiwe huyo niliyemdefine hapo kwenye uzi huuKwanini unaita binadamu wenzako mashetani?
Kwako kama hupendi wapo wanaopenda wachumba wa hivyo. Kwani wewe kuna mtu anakuchagulia mkuu mchumba wako aweje na asipokuwa hivyo wamuite shetani?
Kitu usichokubaliana nacho wewe usikigeuze kashfa mkuu.
Ahahaaa hilo nalo nenoWanatoga mpaka papuchi
Una mchumba ametoboa skio lote..ametoboa pua..ametoboa ulimi..hadi kitovu ametoboa..anabandika kucha na kope pia na bdo anajichubua halfu unakaa mbele za wa2 unasema hujawah kumuona SHETANI .... Ndugu yangu hv unatk kumuona shetan wa aina gn[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]?????
Sio mm to, hata Muumba wako hapendi type hio ya life style, no Kwamba anachukia vp mm nisichukie madame!!??? [emoji23][emoji23][emoji23]Usichopenda ww kuna wenzio wanapenda, usimuite binadamu mwenzio shetan hukumu ni juu ya bwana
Ahahaaa hilo nalo neno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha kujiuliza sasa, anatoboa ili iweje kwenye hio kitu
Wanawake akili zao, wanazijuaga wenyewe Kwa kweli
Umeona eehh hapo sasa, ndo ukisikiaUrembo uliopitiliza usioni ni vizuri.....
Nakubaliana na wewe mkuuUsioe aisee.. Utajuta.
Hii imekaaje mkuuMwenye mapembe na mkia
Ishi Kwa matakwa ya mungu sio Kwa matakwa ya nafsi yakoWatu hatufanani. Mtu aishi tokana na hisia zake.
Duuhh, huyo mumewe naona atakuwa amefikia akili ya Mwisho KabisaSometimes anatoboa ili kumridhisha bwanake