Niliwah kumjulia hali tu x-wangu, akanijibu, UNATAKA NIKUTUKANE AU?? UFUTE NAMBA YANGU...USINIJUE.....hahaha, huyo ni gash niliyekaa naye miaka 2 na niliwah kumtamkia ndoa.....
Inategemea na jinsi mlivyoachana. Kuna wengine mnaona kabisa mna mifumo tofauti ya maisha uhusiano hautawezekana mnaamua for good muachane. Wengine wnaachana kwa kufumaniana. Mwisho wa siku sababu ya kuachana ndo itaamua mchukuliane vipi.
Mhhhhh! bado hazijatimia tu tukajichane sehemu sehemu kwa raha zetu!? au umekosea kuhesabu snowhite!? Hebu hesabu tena banaaaa! Dadaako alikuwa kafichwa na Teja kwa raha zao.