Unamchukuliaje ex wako?

X bwana , anaitwa X for a reason. And since life is too short to waste time hating anyone inabidi tuwachukulie tu kama watu waliotufunza something katika ulimwengu wa mahusiano. Whether positive or negative we did learn something.
 
kenge tu na nashukuru sijawahi kutana nae toka tumemwagana wala kuwasiliana kwa njia yyt
 
Its a matter of time utakuja kurudia mechi hata baada ya miaka 10 au 20. Mwanzoni lazima hasira iwepo ila itaisha tu badae
 
X bwana , anaitwa X for a reason. And since life is too short to waste time hating anyone inabidi tuwachukulie tu kama watu waliotufunza something katika ulimwengu wa mahusiano. Whether positive or negative we did learn something.

Word, hata aliyekuabuse; umejifunza kitu from that maltreatment so in a way wapaswa kumshukuru kwani hautakaa uruhusu another abuse. This is my principle, halafu imagine .....unatumia energy kubwa kumchukia mtu ambaye huna uwezo hata wa kuzuia asipate Oxygen; what is the use? au hasara ni ya nani wakati yeye anadunda.....
Haters maana yake they are not over the person. Mimi hakuna hata mmoja anayenisumbua! No feelings at all!
 
ndio inavyotakiwa, ila KUKUMBUSHIA sometimes huwa kupo!!!
 
Bora Pengo kuliko jino Bovu cuz mpenzi wa zamani (X) hana tofauti na jino bovu. Tupa kuleeee...ckumbuki hata sura yake. 😡
 
Aahhhh......kitu mashine mpya bana......roho swazuuuuuu......X ni kama koikoi tu...... wa nini sasa.......ptuuuuuuu.......

Preta......In Love.....
 
Jinsi gani unamchukulia Ex wako inategemeana na sababu ilofanya muachane na tendo lile la kuachana lilikuwaje. Kwangu mimi Ex ni rafiki na kamaa ndugu pia, thats it!
 
mburula tu .... x ni x hamaanishi chochote kwangu
 
Marafiki wa Ukweli, na anapokuwa na tatizo linalohitaji ushauri hasiti kuomba kwangu ila mapenzi tena big noooooooooooooooooooooo
 
Aahhhh......kitu mashine mpya bana......roho swazuuuuuu......X ni kama koikoi tu...... wa nini sasa.......ptuuuuuuu.......

Preta......In Love.....

Bold kama nimekupata vile
 
Ex wango wote ni rafiki zangu, na some ndio rafiki wa karibu kabisa
Uzuri ni kwamba we know each other na we know where to stop
Lazima kuna limits ya mambo ya kuongea, sehem za kukutana etc
But having gone together through a lot makes them like brothers to me
 
X bwana , anaitwa X for a reason. And since life is too short to waste time hating anyone inabidi tuwachukulie tu kama watu waliotufunza something katika ulimwengu wa mahusiano. Whether positive or negative we did learn something.
Sure umeongea vyema my dia n kweli wanatufunza vitu na kama pa kurekebisha unapajua then it wl help your in ur next relation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…