Unamchukuliaje ex wako?

Unamchukuliaje ex wako?

PLL

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
882
Reaction score
400
Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?
Binafsi EX hawezi kua rafiki yangu wala adui yangu yan namuweka katika group la mtu wa kawaida tukikutana barabaran ni salamu tu hakuna story zingine(kama n msaarabu lakini) kama ni wale wanaoleta maneno mbovumbovu hakika sitaki hata unisalimie wala kuniuliza kitu na hata kuntext kwa bahati mbaya sitaki kabisaaaa
 
Kama Chandugoa tu, na hivi uso wake umekuwa na madoa doa lol, new brand is nice aise!
 
Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?

Kama Eksii wangu tu...
 
Mara nyingi wanaume huwa tunachukulia kama friend tu,, ila wenzetu ni uadui...tena wakupitiliza....
 
Ex ni nyumba ndogo nikijisikia napiga mzigo, haijalishi tuliachana vp hata kama tulishikiana visu kuna muda yataisha na mchezo utaendelea hata kama ameshafunga ndoa
 
Mara nyingi wanaume huwa tunachukulia kama friend tu,, ila wenzetu ni uadui...tena wakupitiliza....

Ukiona anakuwa adui kupitiliza ujue ulikuwa humridhishi kwenye idara nyingi na sasa amepata anayemridhisha so lazima akuchukuie kwa kumpotezea muda ila kama ulikuwa unamfikisha vizuri hawezi kukusahau, atakuchukia kwa yote ila atakukumbuka kwenye sekta flani na lazima awe anaomba friend match za hapa na pale
 
Umenena vyema Nosspass binafsi EX wangu hawezi kua rafiki yangu na pia hawezi kua adui yangu,tena inategemea tumeachanaje kama ndo ile mkiachana anaanza kusema maneno mbovu mbovu hakika hata kaa apate salamu yangu na hata naweza nkajifanya sijawahi kumuona...i
 
habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma ex,je wewe unamchukuliaje ex wako?rafiki yako?adui?

kwani wa kwako unamchukuliaje?
 
Namchukulia kawaaida saana....,
as I dont regret yesterday since today is a new day kwangu
 
Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?

Namchukulia kama was a passing wind ambayo ilikuwa lazima nipite:embarassed2::embarassed2:
 
Ukiona anakuwa adui kupitiliza ujue ulikuwa humridhishi kwenye idara nyingi na sasa amepata anayemridhisha so lazima akuchukuie kwa kumpotezea muda ila kama ulikuwa unamfikisha vizuri hawezi kukusahau, atakuchukia kwa yote ila atakukumbuka kwenye sekta flani na lazima awe anaomba friend match za hapa na pale
Mfarisayo unaweza kua sawa lakini kumbuka wengine wanakua hawajategemea kupewa vibuti ivo kikimpata kibuti na angali alikua anakuhitaji ni lazima akuchukie...binafsi sinaga cha friend match once we are done,we are done for good regardless ur perfomance!
 
Kwa kuwa hatukuachana kwa ugomvi, mimi namchukulia kama HAMADI KIBINDONI! Au basi tuseme AKIBA HAIOZI! Siku ya siku umeshikwa unamkimbilia kutuliza mihasira yako, anajitumaje...., we acha tu!!
 
Back
Top Bottom