Unalo babu... Limekugandaa...

hahahah..lazima walimix ile kubwa na ndogo wakatoa uji
 
Hapo simple, kama gari inamaji ya kuoshea kioo(Wind Glass) unaflash tumboni kwake tu, lazima atashtuka na kusogea kando.
 
dawasco wamekata maji
Mkuu Mbezi Beach wiki iliyoita maji ya bomba unayosema yalitoka na rangi utafikiri chai ya rangi. Ukipenda gari lako pendelea kutumia maji special (Pure water) kwenye rejeta na wind glass water storage.
 
Hapo simple, kama gari inamaji ya kuoshea kioo(Wind Glass) unaflash tumboni kwake tu, lazima atashtuka na kusogea kando.
Gari yenyewe imechoka hivyo sidhani ka huo mfumo upo hai; ikiwa shoo tu mbele ilishatoka!
 
Gari yenyewe imechoka hivyo sidhani ka huo mfumo upo hai; ikiwa shoo tu mbele ilishatoka!
Mkuu kilichotoka hapo ni bamba la mbele tu hilo gari lipo bomba si unaona hata matairi yenyewe PIRELLI.
 
naamini ndani ya gari hakuna harufu ambayo ilikuwepo mwanzoni mwa safari,kwa sasa kutakuwa na pafyum izalishwayo tumboni.au ule ugali kabisa na kimiminika ikibidi
 
Mkuu unaweza kuona "nozel" mbili juu ya buti, labda awe amesahau kuweka maji.
Nazungumzia zile pipe za maji kwa ndani ya boneti, ka gari limechoka au parking za uswazi nazo unakuta zimeishaliwa na panya siku nyingii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…