Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,557
- 20,409
Godoro halitakiwi kuwa kama jiwe. Mwezi limelaliwa lakini bado kama umelala kwenye mbao.Kumbe godoro likiwa gumu pia linaweza kuwa feki. Au ni tangazo la kimkakati.
Sasa likiwa kama jiwe linakuaje Tena godoro?Godoro halitakiwi kuwa kama jiwe. Mwezi limelaliwa lakini bado kama umelala kwenye mbao.
Usiseme Godoro halitakiwi kuwa gumu, Sema ww huna matumizi na Godoro gumu akiwemo na mtoa mada.Godoro halitakiwi kuwa kama jiwe. Mwezi limelaliwa lakini bado kama umelala kwenye mbao.
Inawezekana amepewa kwa kushikishwa au amelichagua yeye bila kujua, amepewa Godoro lenye density kubwa na sio Godoro fekiDensity
SahihiInawezekana amepewa kwa kushikishwa au amelichagua yeye bila kujua, amepewa Godoro lenye density kubwa na sio Godoro feki
Kutokana na mada yake, hawezi kujua density ya hilo Godoro mana angejua asingelinunua au asingeleta Hii mada.Mkuu nikushauri tafuta godoro la spring kama upo vizuri kifedha, yanauzwaga bei kidogo lakini ni mkataba mpaka utaligawa mwenyewe all in all hilo godoro sio baya lina density ya ngapi
Atuonyeshe picha ya hilo godoro kwa faida ya members
28Mkuu nikushauri tafuta godoro la spring kama upo vizuri kifedha, yanauzwaga bei kidogo lakini ni mkataba mpaka utaligawa mwenyewe all in all hilo godoro sio baya lina density ya ngapi
28. Walikuwa wanasifia density nikaona litakuwa fresh. Ila limekuwa mateso.Kutokana na mada yake, hawezi kujua density ya hilo Godoro mana angejua asingelinunua au asingeleta Hii mada.
Density ndio nini kwenye godoro?Inawezekana amepewa kwa kushikishwa au amelichagua yeye bila kujua, amepewa Godoro lenye density kubwa na sio Godoro feki