komeka JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 1,072 Reaction score 404 Aug 31, 2014 #1 Wadau mnawakumbuka hawa jamaa ? binafsi nilikuwa nawakubali dizaini kama game wamesanda maana cku hizi siwaskii
Wadau mnawakumbuka hawa jamaa ? binafsi nilikuwa nawakubali dizaini kama game wamesanda maana cku hizi siwaskii
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,783 Reaction score 2,769 Sep 1, 2014 #2 Mkuu bado wapo ila kila mmoja alikuwa anafanya solo projects. Pusha T ana albam katoa mwaka jana inaitwa "My name is my name" wakati No Malice naye alitoa "Hear Ye Him". Sasa hivi wanafanya albam ya pamoja "As God as my witness".
Mkuu bado wapo ila kila mmoja alikuwa anafanya solo projects. Pusha T ana albam katoa mwaka jana inaitwa "My name is my name" wakati No Malice naye alitoa "Hear Ye Him". Sasa hivi wanafanya albam ya pamoja "As God as my witness".