nyama yao. hapo unamgusa gwiji Mhogo mchungu....Hiv kwanin hii michezo ya kuigiza,..au hata ile ya enzi zile kina bishanga,au ile ya kina kibakuli ilikuaga mitamu sana kuliko hiz bongo muv za skuhiz,hiz bongo muv ni uchaf mtup,hakuna kitu,sjawai ona acting za ajab kama bongo muv
Ile njemba ilikuwa inaitwa Kisu ndio ilikuwa inamwambia LindiNeno chokora damu nilipata kulisikia huku ,zamaanii.....sana
Ebwanaeeeee...Ati nini?
Tausi ndege wanguuu