kaka nahisi kama unachanganya... saa kua mechanical sio kigezo cha kua automatic??? kwani saa za mechanical hazitumii battery??? ninavyojua mimi saa kua automatic ndio the best hata bei zake zimechangamka na ni maduka machache sana hapa bongo unaweza pata saa ambayo ni automatic!!!! so i think kama unataka kushauri watu kununua saa basi kigezo ni kwamba mtu akifika dukan aulizie kama ana saa yoyote ni automatic???